Posts

Showing posts from January, 2017

MOTISHA KATIKA UJASIRIAMALI

MOTISHA KATIKA UJASIRIAMALI Motisha umaanisha msukumo unaokusukuma kufanya kitu furani iwe ni katika hali ya kukifurahia,au katika hali ya kufanya kwa sababu huna jinsi .Katka ujasiriamali motisha uanzia ndani ya nafsi na hakuna msukumo wowote kutoka nje unaowafanya wajassiriamali kufanya mambo yao,kitu pekee wanachohitaji wajasiria mali kutoka nje ya nafsi zao ni uhamasishaji kutoka katika mazingira wanayohishi.Huu unaweza kutokana na fursa ambazo mjasiriamali anaweza kuzigundua mwenyewe au kupata hamasa kutoka kwa wataalamu (inspiration speekers). Hapa tofauti inayokuwepo kati ya mjasiriamali na watu wengine ni kwamba mjasiriamali upata zaidi msukumo wa ndani(self motivated),ambapo watu wa kawaida utegemea misukumo kutoka nje,kwa mfano;watu ufanya kitu furani wakitegemea kupata malipo ya mwezi au kupandishwa vyea pengine ata kuwa na hofu ya kuadhibiwa au kupoteza kazi zao.Mjasiriamali hufanya kazi akiwa na hamasa ya kufikia lengo alilojiwekea kwa kipindi Fulani na hategemei kuvuna ...

MBINU ZA KUBUNI NA KUENDESHA UJASILIA WENYE KUKULETEA MAFANIKIO

Kuna njia nyingi za kufanya ujasiria mali,lakini ili uweze kufanikiwa unaitaji kuzingatia mambo kadhaa. 1)Kwanza kabisa unatakiwa kuwa mbunifu wa mambo mapya ambayo hayajawai kufanywa na mtu yeyote au kufanya mambo ambayo tayari yanafanywa na watu wengi lakini kwa njia tofauti,mfano;unaweza kugundua njia bora zaidi ya kuzalisha nishati ya umeme,hili litakuwa ni wazo jipya kabisa nalinaweza kutumiwa na jamii ili kuweza kujipatia umeme wenye gharama nafuu na usiyokuwa na hathari kwa mazingra.mfano mwingine ni kufanya mambo ambayo tayari watu wengine wanafanya ila kwa njia tofauti mfano,ukibuni kutengeneza mapambo kama yale yanayotoka china na ukayatengeneza kwa ubora kama hule hule wa kichina au zaidi,hii itatasaidia mtandao wa bidhaa yako kuleta changamoto kwa bidhaa hiyo ya kichina na kuifanya nguvu ya soko kwa bidha yako kuwa kubwa zaidi. 2)Kujiamini;mjasiriamali ni lazima kujiamini na kuhepuka kukatishwa tamaa kutokanako na mazingira pamoja na watu wanaokuzunguka.Hepuka kuhairisha ...
Image

ujuzi katika ujasiriamali

Ili uweze kuwa mjasiriamali bora ni lazima utumie ule ujuzi wako ambao unakutofautisha na watu wengine,kila mtu aliumbwa akiwa na ujuzi au vipawa vya pekee ila ni watu wachache wanaoweza kugundua vipawa vyao na kuanza kuvitumia kikamilifu katika harakati za kujiletea mafanikio.Watu wengi usubiri mtu wa kuwatengenezea njia au kuonyesha kitu fulani kwa vitendo kuwa kinawezekana ndipo nao wachukue atua kwa kuiga shughuri au ujasiriamali anaofanya mwenzao.    Watu wengine utegemea sana wahamasishaji ili kuweza kupata hamasa na kuchukua hatua lakini ile hamasa huwepo kwa kitambo na kisha hupotea bila kufanyiwa kazi   Kitu cha muhimu ili ujuzi wako wa asili uweze kutumika ni kuchukua hatua bila kujari vikwazo vyovyote vinavyojitokeza,pia kuhepuka kuhairisha mambo kwa sababu mbali mbali
Image