Kuna njia nyingi za kufanya ujasiria mali,lakini ili uweze kufanikiwa unaitaji kuzingatia mambo kadhaa. 1)Kwanza kabisa unatakiwa kuwa mbunifu wa mambo mapya ambayo hayajawai kufanywa na mtu yeyote au kufanya mambo ambayo tayari yanafanywa na watu wengi lakini kwa njia tofauti,mfano;unaweza kugundua njia bora zaidi ya kuzalisha nishati ya umeme,hili litakuwa ni wazo jipya kabisa nalinaweza kutumiwa na jamii ili kuweza kujipatia umeme wenye gharama nafuu na usiyokuwa na hathari kwa mazingra.mfano mwingine ni kufanya mambo ambayo tayari watu wengine wanafanya ila kwa njia tofauti mfano,ukibuni kutengeneza mapambo kama yale yanayotoka china na ukayatengeneza kwa ubora kama hule hule wa kichina au zaidi,hii itatasaidia mtandao wa bidhaa yako kuleta changamoto kwa bidhaa hiyo ya kichina na kuifanya nguvu ya soko kwa bidha yako kuwa kubwa zaidi. 2)Kujiamini;mjasiriamali ni lazima kujiamini na kuhepuka kukatishwa tamaa kutokanako na mazingira pamoja na watu wanaokuzunguka.Hepuka kuhairisha ...
Comments
Post a Comment