MOTISHA KATIKA UJASIRIAMALI
MOTISHA KATIKA UJASIRIAMALI
Motisha umaanisha msukumo unaokusukuma kufanya kitu furani iwe ni katika hali ya kukifurahia,au katika hali ya kufanya kwa sababu huna jinsi .Katka ujasiriamali motisha uanzia ndani ya nafsi na hakuna msukumo wowote kutoka nje unaowafanya wajassiriamali kufanya mambo yao,kitu pekee wanachohitaji wajasiria mali kutoka nje ya nafsi zao ni uhamasishaji kutoka katika mazingira wanayohishi.Huu unaweza kutokana na fursa ambazo mjasiriamali anaweza kuzigundua mwenyewe au kupata hamasa kutoka kwa wataalamu (inspiration speekers).
Hapa tofauti inayokuwepo kati ya mjasiriamali na watu wengine ni kwamba mjasiriamali upata zaidi msukumo wa ndani(self motivated),ambapo watu wa kawaida utegemea misukumo kutoka nje,kwa mfano;watu ufanya kitu furani wakitegemea kupata malipo ya mwezi au kupandishwa vyea pengine ata kuwa na hofu ya kuadhibiwa au kupoteza kazi zao.Mjasiriamali hufanya kazi akiwa na hamasa ya kufikia lengo alilojiwekea kwa kipindi Fulani na hategemei kuvuna chochote kwenye hatua za hawali ,uvumilia mpaka anapofika mwisho,pia anapofika mwisho ujifanyia tathimini kuona kama lengo lake limetimia au la.
Mjasiriamali anapoona mpango wake umeshindwa huwa hakati tama bali uzitumia changamoto ili kuweza kuwa na mpango mbadara na kusonga mbele.
Comments
Post a Comment