
Posts
Showing posts from October, 2016
RATIBA YA KAZI
- Get link
- X
- Other Apps
Katika kazi yoyote ni muhimu kuwa na ratiba yenye malengo uliyojiwekea,katika kipindi maalumu.Hii itasaidia katika kufanya tathimini na kubaini ni kazi gani haikufanyika na ni kwa nini.Kama huna ratiba katika kazi zoko hii inaweza kukusababishia kufanya kazi chini ya malengo au kutofanya kazi kabisa.
UJUMBE WA LEO
- Get link
- X
- Other Apps
Msingi wa biashara siyo mtaji wa pesa, bali ni wazo zuri lenye ubunifu ndani yake.Biashara au ujasiliamali,uanza kwa wazo bila ya kutumia kiasi chochote cha pesa na wazo linaweza kuwekwa kwenye utekelezaji kwa kutumia pesa kidogo kwenye hatua za mwazo , au bila pesa kabisa bado unaweza kuliweka wazo lako katika utekelezaji na kuanza kukuza biashara yako kutoka mtaji zero wa fedha mpaka kufikia kumiliki kampuni yenye mapato ya mamilioni kwa mwaka.
UJUMBE WA LEO
- Get link
- X
- Other Apps
Ili uweze kufanya na kutimiza malengo yako kwa ufanisi unatakiwa kuwa na fikra pana lakini anza utekelezaji na mambo madogo ambayo ni lahisi kutekeleza ,kwa sababu unakuwa bado katika hatua za kujifunza.Hapo utakuwa unafuata kanuni ya kujifunza inayosema " learning is from simple to complex" ikiwa na maana kwamba kujifunza ni hatua kutoka mambo lahisi kuelekea magumu .
MTAJI
- Get link
- X
- Other Apps
Je,unajua kuwa unaweza kuanzisha biashara au ujasilia mali kwa mtaji mdogo au bila mtaji wowote wa pesa?kama jibu ni hapana,hapa ndo sehemu sahihi ya wewe kujifunza mbinu na hatimaye kuelewa jinsi ya kuanzisha na kukuza biashara yako kwa mtaji kidogo au bila mtaji wowote wa fedha.Najua haitakuwa lahisi kwako kuamini hivyo,ila kadri tutakavyoende kujifunza utaelewa na kama ukiyaweka yote tutakayojifunza,sina shaka utafanikiwa katika mipango yako ya biashara. Unapoongerea mtaji kwa mtazamo wa kawaida watu ufikiri kuwa ni pesa tu,ata mimi mwenyewe niliamini hivyo mwanzani,lakini baada ya kujifunza nilianza kuwa na mtazamo tofauti kuhusu mtaji.Sisemi kuwa pesa siyo mtaji,hapana namaanisha kuwa pesa ni sehemu tu ya mtaji na haina umuhimu sana katika mtaji. Sasa tuone sehemu muhimu ya mtaji ni hip? Kwa ufupi sehemu kuu ya mtaji ni wazo la kutumia vitu tulivyo navyo katika mazingira yetu kupitia teknologia lahisi ambazo pia ubiniwa na wajasilia mali.Hii haiitaji pes...
FULSA
- Get link
- X
- Other Apps
Katika hii dunia kuna fulsa nyingi sana kiasi cha kumfanya kila mtu mwenye nia na hari ya kuzitumia kuwa na maisha bora zaidi.Watu wengi wamekuwa wakijitahidi kufanya biashara au ujasiliamali lakini,wamekuwa wakipata changamoto sana kiasi ata cha kuhatarisha mitaji yao.Hii utokana na watu wengi kutotafuta fulsa na badara yake wamekuwa wakifanya shuguri zao kwa kuwaigiza wenzao,hii usababisha kuwepo kwa ushindani mkubwa katika soko la bidhaa na huduma na kusababisha biashara nyingi kufa au kuishia kudumaa.