UJUMBE WA LEO
Ili uweze kufanya na kutimiza malengo yako kwa ufanisi unatakiwa kuwa na fikra pana lakini anza utekelezaji na mambo madogo ambayo ni lahisi kutekeleza,kwa sababu unakuwa bado katika hatua za kujifunza.Hapo utakuwa unafuata kanuni ya kujifunza inayosema "learning is from simple to complex" ikiwa na maana kwamba kujifunza ni hatua kutoka mambo lahisi kuelekea magumu.
Comments
Post a Comment