FULSA
Katika hii dunia kuna fulsa nyingi sana kiasi cha kumfanya kila mtu mwenye nia na hari ya kuzitumia kuwa na maisha bora zaidi.Watu wengi wamekuwa wakijitahidi kufanya biashara au ujasiliamali lakini,wamekuwa wakipata changamoto sana kiasi ata cha kuhatarisha mitaji yao.Hii utokana na watu wengi kutotafuta fulsa na badara yake wamekuwa wakifanya shuguri zao kwa kuwaigiza wenzao,hii usababisha kuwepo kwa ushindani mkubwa katika soko la bidhaa na huduma na kusababisha biashara nyingi kufa au kuishia kudumaa.
Comments
Post a Comment