UJUMBE WA LEO
Msingi wa biashara siyo mtaji wa pesa, bali ni wazo zuri lenye ubunifu ndani yake.Biashara au ujasiliamali,uanza kwa wazo bila ya kutumia kiasi chochote cha pesa na wazo linaweza kuwekwa kwenye utekelezaji kwa kutumia pesa kidogo kwenye hatua za mwazo, au bila pesa kabisa bado unaweza kuliweka wazo lako katika utekelezaji na kuanza kukuza biashara yako kutoka mtaji zero wa fedha mpaka kufikia kumiliki kampuni yenye mapato ya mamilioni kwa mwaka.
Comments
Post a Comment